Kwenye maisha, hasa sisi wanaume watafutaji halafu bado tunapambana kutafuta hizi mia mia kuna baadhi ya "Mali " tunakubali hatutaweza kuzitafuna wala kuzimilki,
Tutaishia kuzitama kwa umbali na kuzitamani kama Mussa alivyotamani kufika kaanan na akaishia kuiona kwa macho tu.