Mchakato wa kura ya maamuzi:
Kanuni za mchakato wa kuandaa kura ya maamuzi
Ni sharti saini milioni moja za wapigakura zikusanywe
#CitizenNipasheWikendi
Makayamba yamba Friday!weekend tunaianzia hapa ndani ya #Goteana.Tune in itubambe ukiwa na @Browngalnessa na @abonokohdeh alongside DJ vatos kutoka hii masaa mbaka magiz.
☎️0711443886
#Neno...AMKA ULE, SAFARI NI NDEFU!
1 Wafalme 19:4-8 Part 2....Ndio, umepitia mengi sana na unahisi kuchoka lakini sikia, kuna kazi kubwa mbele yako, kuna watu unahitaji kufikia wapate nuru, kula neno la Bwana, pata nguvu mpya ya safari. Tukutane Galilaya! #NurunaEvahMwalili
An employer in Eldoret City
Is physically assaulting his employee.
@DCI_Kenya, immediate action is needed.
Such charactors should be deported immediately.
We wish Fred Matiag'i was the CS
It's Furahi-day! Dickson alishaset pace, YOU are NEXT, jishikie over 100 milli MJP na 10 million ya Goal Rush Now, uji-nice! PREDICT the 3 #SportPesaGoalRush Games
https://t.co/cVrqyDA5aj
Karibisho la Ibada..
Leo unahudhuria service wapi, mchungaji hapo anaitwaje? Kwa mapigo ya Yesu msalabani tumepata uponyaji, tunatuma neno la uponyaji kwa wagonjwa wote..Amina.
@EvahMwalili@bonfacemakanda#Nuru47Jumapili#HapaNdipo
#Neno.....MLANGO UKUFUNGUKIE WENYEWE! Matendo 12:10,11...Mlango wako wa kuingia katika maeneo mapya ukufungukie maana Mungu ametuma malaika wake, una backing ya mbinguni and that gate has got no option, it has to open up for you! Ingia sasa maeneo yako! Tukutane Galilaya!
#NuruNaEvahMwalili