Ukiwa unavuka roadi usiangalie left, right, left pekee. Angalia juu pia. Siku hizi danger haiko tu kwa matatu na boda boda... air force nayo iko active.Nikama baro ni 3D sasa 🦅😂
Sometime back nilikuwa navuka roadi town, kama student model wa safety. Nikatupa macho left, nikapiga right, nikarudia left just to be sure. Mimi huyo nikaanza kutembea na ile bounce yangu ya kawaida, wenye wananijua wanajua siwezi tembea straight kama witness wa serikali.
Nikiwa katikati ya road nikasikia PAA! Kitu imenigonga kichwa hadi nikaanza ku-question life choices zangu.Kumbe ni hawk.Karibu niache soul ikifanya buffering.
Sasa hapo ndio nikajua uchumi imefika level atari. Ndege nayo imeona earthworms hazitoshi, imeamua kujaribu premium cuts
Mimi nilikuwa napambana na cost of living, yenyewe ilikuwa inaniona kama lunch of the day.
Mpaka leo sijui ilikuwa inataka kuninyakua, kunisalimia, ama ilikuwa traffic police wa birds ikinicheck kama nimeangalia all directions before crossing.
Lesson learned:
@Omushevi@edgarwabwire_ Kenyans are not against the speed cameras the issue is there is no clear road signs indicating on there should be 80km/h or 50km/h simple
@okushjanam@Maryian96 The same person accepting the bolt ride has Uber and little. They are rude to bolt clients because the clients are equally rude and bottom of the barrel humans