Kwani kugongana na #mnyamapoli nikuwindwa? Vipi kua na sintofaham na kiongozi mwenzio Ni kusakamwa? Unaweza kusimikwa kiganga alafu ukahofu kunyatowa? Au sijaelewa vizuri, mhe kulikon.
@fatma_karume@tanpol Hapa bara tunaish #kigambosh mwenye uwezo wakutembea ni mmoja,wengine Ni #pingu wekwa chumbani,ukiongea mayai yameibiwa unabadilishiwa chumba,wengine wanafyata ndo #bara hiyo
Hua madem mnafeli sana mnapo shindwa kujikubali kulingana na mazingira mlonayo,
Majifanya watu wa #chips_nyama_mayai
Pembeni Kuna @kipepeo na @makwishe makali kumbe uhalisia wenyewe mnaujua #mnaboa_sana
@ndala_mona @MariaSTsehai Zire not nyekundu zinazo gawiwa mitaan sizinge tandikwa Kama pazia watu watambae juu Kama bata, mafuriko yakiisha mji utanuka mizoga hatari
@fatma_karume Bora huko #znz hua mnajua kuchambua maneno na vitendo,kule #bara wape pyepye,
Tatizo Ni moja, nyie mnaamin ndoa haivunjiki,au mnalizika na mboga kidogo?
Wameanza kuumana na kutafunana,baada ya mnada kuisha,wengine wanaitwa vikaon vya #maadili kwa kuonesha kula kabla ya kuomba, #mnada umeisha Sasa kilamtu kulala aliko tandika mkeka,
#tarime na #heche@heche na @maendereo waambieni barabara zinapitika kwakusimamiwa.