βZamani mchezaji akisajiliwa alikuwa anawekewa mzigo wa fedha mezani, unakuta noti za shilingi 500, 1,000 na noti yenye thamani kubwa inakuwa ya shilingi 2,000.β
βKwa hiyo ukianza kuhesabu pale unajikuta umechoka, unaamua ukahesabie nyumbani. Ukifika nyumbani kila ukihesabu ..