@chapanombombwi Kuna mfimo Marekani wanaita TERM REVIEW, ambapo US Arttoneys na FBI wanapimwa kwa kesi walizoshinda na walizoshindwa Court kama kigezo cha Promo. Na kwenye majimbo hivyo hivyo, State Arttoney na Investigators wanapitia njia hii. Je umeisababishia hasara Kiasi gani Serikali??
@chapanombombwi Katika nchi ambazo sheria ya fidia ipo kwenye jinai Wanasheria wa Mamlaka wanahitaji kujiridhisha sana na kesi iliyoletwa na Investigators. Na hivyo hivyo mpelelezi naye, ni bora atumie muda mrefu kufanya investigation kuliko kupeleka kesi isiyoeleweka kwa State Arttoney.
@chapanombombwi Haupingwi Kaka. Haya mambo ya mtu analala akiamka anawaza ambambikie nani kesi hayawezi kuwepo kama kutakua na accountability kwa watawala kuhusu mashtaka haramu. Hii ni turufu yao kubwa sana. Lile neno "MUWEKE NDANI HUYO" litakomea hapo.
@godbless_lema Then what next after the DEBATE!!! Will that restore those lives your gavoo took? By the way, give us a break, not even your boss worthy legitimacy of shairing dialogue with our side #FREELISU
@chapanombombwi Amini kaka!! Hizi ndio sheria za bongo zinawapa watawala uwanja mpana wa kuwahenyesha raia mpaka wanakosa pumzi. Fidia inatajwa kwenye katiba lakini hakuna sheria ilishatungwa kuhusu fidia ya iinai Na hapa ndio sehemu nyingine ya uhitaji wa katiba mpya. #KATIBAMPYA ni sasa.
@chapanombombwi It is written; "The door is WIDER and the way is BROAD and to those whom shall enter are many! Yet behold, "The door is NARROW and the way is SMALL and those whom may enter are few". So take your time to choose the PARTH depending on your DESTINATION
@chapanombombwi Oya jamaa niwe mkweli, Na mimi nilipita hapo ealier. Sasa tuelewane hivi; Hakuna uwekezaji katika maisha ya sasa utakua mature isipokua ule ambao umejikita katika msingi wa uhalisia na maisha endelevu. Uwekezeji katila mahusiano lazima uwe kwa.ajili ya familia, unless ni ZAWADI.
SIKU KUBWA kwa wapennda Haki. Wengi wanamjua TAL ki kawaida sana kama Mwanasheria/ M/kiti wa @ChademaTZ2 , au mbunge mstaafu aliyepigwa risasi 20+ na ku survive. Ila baadhi yetu tunamjua zaidi ya hapo. Mtu wa principles regardles what, mtetezi wa haki ,na kiongozi mwenye maono
Dar es Salaam, countdown imeanza: Zimebaki siku 5! 👊🏽 Tuhakikishe tunaweka historia ya kujaza mahakama hadi nje kwa ajili ya Tundu Lissu. Huu ni mshikamano wa dhati, hakuna wa kutuzuia mbele ya safari! 🔥 #FreeTunduLissu
@Oleshangay Nafikiri hapo kwenye CAPACITY ndio shida inaanzia. LAW states that; "Once the capacity becomes as low as demands requires, the inconfident uproot and UNGER overwhelm WISDOM". CAPACITY AND DEMANDS SHOULD WORKS PROPOTIONALLY.
🚨 EXPOSED: Samia Suluhu Hassan LIED straight to Putin and Russian media!
She boldly claimed ‘Tanzania is NOT under Western & European sanctions’ while begging for deals in Moscow.
LIES! EU froze €156M, US sanctioned her brutal police thugs for torture & election massacres, Washington reviewing ALL ties.
Samia is desperately shopping for Russian cover while her regime drowns in blood and isolation.
The whole world sees your hypocrisy, Madam Liar!
@KremlinRussia_E@mfa_russia@RT_com@SputnikInt@EU_Commission@StateDept@EUParl_EN