Nimeshuhudia
-Forex
-Blogging
-Copywriting
-Search engine Op
-Affiliate marketing
Zikibadilisha maisha ya vijana wengi sana. They all free Now
And guess what? Hizi skills hazifundishwi darasani
Change your mindset, get busy studying online.
Ghafla una miaka 25. Unaamka asubuhi, unatengeneza chai yako, unajiandaa kwenda kazini. Unarudi nyumbani saa 12 au saa 1 jioni, umechoka kiasi kwamba unachoweza ni kupika kidogo, kuchezea simu, halafu kulala. Kesho unaamka, unarudia tena mzunguko ule ule.
THREAD π§΅