@sellyamutabi Amen Selly! Each person briefly identifies where this message touches their lives today, and then invites someone who has not shared yet...injili ya ujumbe huu uwendelee... Mwasho wa siku basi wengi watapata nguvu mpya....Asante sana
Dira : Mahakama Eldoret imeamuru Watu watano wanaodaiwa kuwashambulia wazazi wa aliyekuwa Waziri wa fedha Henry Rotich katika kijiji cha Kaptich, Uasin Gishu wazuiliwe kwa siku kumi na nne ili kuruhusu maafisa wa polisi kukamilisha uchunguzi wao.
#Jambokenya
Kulishuhudiwa makabiliano kati ya wahudumu wa bodaboda na maafisa wa polisi.
Vijana hao ambao wameandamana na kutaka kuwasilisha Ujumbe wa amani umoja na utangamano, wakiimba wimbo wa taifa baadhi yao wakibeba matawi kuonyesha maandamano wa amani.
#Jambokenya