Shangazi yangu CP Suzan Kaganda ni Wapi alikosea ni Kwanini Mhe Rais @SuluhuSamia ameamua Kumteua Kua Balozi!?
Shangazi Suzan kuna Kitu Chochote Labda alikosea, au Pengine ni Tishio kwa IGP wa sasa!?
Shangazi Suzan alitajwa Mara kwa Mara Wenda akawa IGP, je kahamishwa Makusudi?
@HKigwangalla@SimbaSCTanzania Kwanza nikujibu tu kaka kama @moodewji ameweka hizo pesa suala la nini au biashara gani itatakiwa ifanyike yeye halimuhusu na sio lazima biashara unayoshauri wewe ifanyike hiyo na sio kila mwenye hela atanunua bonds ili azalishe hapo tu umeonyesha udhaifu mkubwa sana wa kufikiri