Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kupitia Vyombo vya Habari kuhusu kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea Hospitali ya Mzena Jijini Dar es salaam alikolazwa kwa matibabu ya 29 Februari 2024.
A legend has rested.
A principled, straight forward, no nonsense and decisive leader.
Life well lived, million lessons for young leaders.
Pole nyingi kwa mama na familia, wanaCCM na watanzania wote.
Our thoughts and prayers are with you at this sad moment.
RIP EL
JS