Maisha yako ni JUKUMU Lako mwenyewe
Maoni ya watu yakusaidie tu kukua
ILa sio kukukatisha tamaa kwa kitu ambacho umefanya na umeona matunda yake
Home hawali comments za Twitter Bro
Naombeni retweet zenu wadau๐ฅ
Mwenye changamoto ya Afya tatizo sugu mtafuteni MASAI huyu MUUZA DAWA ๐ฟ dawa zake zinatemgenezwa kiasili kabisa na matokeo utayapata mazuri na kurudisha tabasamu
Naomba tumfollow hapa @kimani_keyman
Piga simu 0788177071
Mtu maskini huamini kwamba tajiri amepata utajiri kwa bahati au ushirikina au ujambazi
Tajiri huamini kwamba maskini ni maskini kwa sababu ni mvivu
Mdada aliyeolewa mapema anaamini kwamba wanawake umri ambao mkubwa hawajaolewa bado wana tabia mbaya
Mtu aliyehitimu chuo na kupata kazi mapema anaamini kwamba yeye ni mwerevu kuliko wengine ambao bado wanajitafuta kitaa
Waliochelewa kupata kazi mapema wanaamini waliopata kazi haraka wana watu wao au wametoka familia za kitajiri
Mwanamke aliyeolewa hivi karibuni na kuanza kuzaa anaona wanawake tasa kama watu waliotumia maisha vibaya
Maskini wangetambua gharama ambazo tajiri hulipa kufika mafanikio, tajiri wangetambua mapambano na changamoto ambazo maskini wanapitia kujitafuta wasingesemana vibaya
Ikiwa maskini hawawezi kuthamini mafanikio ya tajiri basi waache kushughulika na mambo yao kama ni rahisi kuwa tajiri wasingekuwa maskini
Ikiwa tajiri hawatasaidia maskini kuendelea basi wasivunje mioyo ya watu wanaopambana na kuwawekea vikwazo vingi wasifikie mafanikio kama yao
Kama ungejua mateso na mapambano ambayo watu huvumilia nyuma ya pazia utashukuru daima kwa maisha yako
Mpaka utakapopitia kile ambacho watu wanakipitia, kamwe hutajua jinsi safari ya kujitafuta ni ngumu
Tusaidiane kukua
Tupunguze kudhihaki
Tusione wivu
Tuheshimiane
Asante kwa kusoma mpaka mwisho