@mkuuJr5 Nchi ikifikia hii hatua lazima kila mtu awe na adabu na mwenzie hata zile kesi za kupakaziana zingepungua maana ukinipakazia nikitoka lazima usafir safar ya bila kurudi
@Its__sDB @VodacomTanzania Kuna bando lao lilinishawishi ni bei nzur kwa mwezi 50k linaitwa kasi internet na lilikua zikiisha MB zote bado unakuwa na access ya kutumia internet ila inakuwa slow Hadi tareh uliyojiunga nashangaa trh bado wamenifanyia hujuma