@ToxicLiqour@HalfanMkiwa@abuga_makori Ruto naye anadanganywa na hao viongozi lakini hapendwi na wananchi ni ile haezijua sai. Our people have suffered enough under his regime. Kilifi kwa mfano. Watu wanashare maji na mifugo na hata yenyewe tu hakuna miaka nenda miaka rudi.
@MillicentOmanga Millie si utafuta tu ata kiti ya MP uachane na hii ya women rep Nairobi ju that thing will just eat up your money cause we know it won't be easy🥲
@pksalasya Unabehave kama wale couples hushinda wakijipost kwa social media kuopen up venye wanapendana sana yet wanaishi pamoja. Why are you acting like you and Babu are not sharing the same podium? What's giving you that surprising happiness??