Zaburi 71:6 Nimekutegemea Wewe tangu kuzaliwa, Ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu, Ninakusifu Wewe daima. By thee have I been holden up from the womb: thou art he that took me out of my mother's bowels: my praise shall be continually of thee.
@MickyJnr__ Sorry but you once this deal will never happen and isn’t going to happen, one of your post back then, and you insisted Zamalek doesn’t look over the player, what is this you are trying to give us????
These are just some of the alternatives girls from underserved communities are forced to use because they can not afford to buy sanitary pads.
Menstruation should never be a burden for any girl or woman. It’s time we come together to make menstrual products accessible to all.
Unataka kujenga biashara itakayokupa pesa na uhuru wa kweli?
Kanuni ya NECST ni siri ya matajiri, wakati wengi wanabaki kwenye mduara wa kusota.
Hivi ndivyo inavyofanya kazi (na jinsi ya kuitumia): 🧵
⸻
N = Need (Hitaji)
Usifuate mambo ya mtandaoni tu. Tatua tatizo halisi. Watu wanalipa pesa kwa suluhisho, si kwa wazo zuri tu.
Jiulize: Je, kuna mtu yuko tayari kulipa ili tatizo hili litatuliwe sasa hivi?
⸻
E = Entry (Uingizwaji)
Kama kila mtu anaweza kuifanya, basi haina thamani. Biashara bora huwa na vizuizi: ujuzi, mtaji, teknolojia, au connection.
Biashara isiyo na kizuizi = ushindani mkubwa = faida ndogo.
⸻
C = Control (Udhibiti)
Miliki bidhaa yako. Miliki majukwaa yako. Miliki bei zako. Ukitegemea TikTok, Instagram, X au WhatsApp pekee, ukifungiwa akaunti au Mtandao unafilisika.
Jenga biashara kwenye “ardhi yako” mwenyewe si ya kukodisha.
⸻
S = Scale (Ukuaji)
Je, inaweza kukua kwa haraka bila kuhitaji wafanyakazi 1000 au wewe kuwa kazini kila saa? Biashara inayokutegemea muda wako sana haina uwezo wa kupanuka kwa kasi.
⸻
T = Time (Muda)
Utajiri wa kweli = Uhuru kutoka kwenye mtego wa kuuza muda wako. Kama kipato chako kinaisha ukipumzika, hiyo si Mchongo.
Tengeneza mifumo, bidhaa, au mali zinazokuletea pesa ukiwa umelala.
⸻
NECST si orodha ya kuangalia tu — ni ramani ya uhuru wa kifedha.
Unataka uhuru wa kweli?
Acha mbio za panya. Jenga biashara inayopita vipimo vya NECST. REPOST WATU WENGI WAJUE
Nusu yetu tunaweza okolewa na hili janga la unemployment kupitia tech.
Vijana wa bongo tuko na talent, tuko na akili, issue huwaga kwenye ku utilize potentials zetu.
Lastly, hakuna politician anaweza tuokoa kwenye hii mess
Kwaresma yenye kheri kwa Wakristo wote nchini
Mathayo 6:16-18
Tena mfungapo, msiwe na uso wa huzuni kama wanafiki; maana huufanya nyuso zao kuwa na huzuni, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, na unawe uso; ili usionekane na watu kuwa unafunga, bali kwa Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
Mtu wa kwanza unayemfikiria na kumkimbilia ukipata tatizo na anasaidia kutatua tatizo bila any excuses ni mtu muhimu sana kwenye maisha yako. Tuwaombee watu wa namna hii maana siyo wengi🙏🏾