CHADEMA ni BAHARI...ukizuia wasiogolee kigamboni, kumbe bagamoyo watu wanaogelea. ndio yaliyotokea Jana POLICE kudhibiti MUSOMA, kumbe KONGAMANO linaendelea TARIME. KATIBA MPYA itapatikana tu.!! Muwe mnataka, au hamtaki.
Tanzanian police have arrested several members of the country’s main opposition Chadema party, the latest crackdown on a group pushing for constitutional reform in the country ⤵️ https://t.co/EH1O1kIzCr
Katiba sio agenda ya CCM lakini hiyo haizuii kuwa agenda ya CHADEMA
Katiba siyo agenda ya Serikali lakini haizuii hiyo kuwa agenda ya CHADEMA
CHADEMA kama chama cha siasa wana haki ya kukutana na wanachama kwa ajili ya agenda zao kama CCM walivyo na haki hiyo.