@makapundo@ayubu_madenge Rorya ni mpakani hivyo ukisema mbunge kutoka huko Rorya inaketa ukakasi, kwani naweza kusema umezingatia umbali wa kutoka Dar or Dom to Rorya au vp mwanadiplomasia.
Lakini zaidi ya yote Nchi imefaidika na Prof zaidi kuliko wananchi wa jimbo la Rorya.
RIP Prof.