LANDO NORRIS TAKES POLE IN SINGAPORE 🤩
A dazzling lap from the McLaren driver ✨ Max Verstappen joins Norris on the front row, Lewis Hamilton will start Sunday's race from third 👏
#F1#SingaporeGP
Tunayo furaha kuwatangazia kwamba kitabu cha Hayati Edward Moringe Sokoine, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kiitwacho “Edward Moringe Sokoine: Maisha na Uongozi Wake” kitazinduliwa tarehe 30 Septemba 2024 na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
#Sokoine #MaishaYaSokoine #UongoziWaSokoine #TawasifuZaUONGOZI
📍Peron,Stanza
📢 ZIARA YA KITAFITI
Hii ni kuwataarifu Umma kuwa Mh.Rais wa Jamhuri ya watu wa Stanza Inj.MAI FABIOLA ameridhia ugeni wa Mtafiti Mwandamizi kutoka Tanzania Dkt
Christopher Cyrilo kuja kujifunza masuala mbalimbali ya siasa,utawala na uongozi.
Vile vile ameridhia kufanya nae mahojiano ya ana kwa ana siku ya tarehe 7 September Ikulu,Peron.
Alpha Wauwau
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais,Ikulu.
#KaribuDrCyrilo
#KaribuStanza
Team France celebrated their silver medal win in style. 🇫🇷😍
I know someone will write a comment like; why do France get angry when they are referred to as Africans? 😬
#olympics I #paris2024
@ZukuHome Could you please clarify if there is a common practice of service interruptions during promotional periods?
Additionally, I would appreciate it if you could investigate this matter further to ensure a stable and uninterrupted connection moving forward.