@babbiekabae Kama ni hivyo ulimaanisha then the kid is right, Nenda omba urudishiwe pesa yako ya ada. ( Kwanza feature mojawapo ya bile ni kuwa alkaline) na kazi yake ni ku neutralize acidic condition kwenye chakula iliyotoka nayo kwenye tumbo after gastric juice digestion process.