Wanaume wanapitia mengi sana maishani hawa jamaa inafika hatua hata kujipenda kinakuwa sio kipaumbele chao tena pesa yote inaisha kuwahudumia wengine yeye anashindwa hata kujinunulia suruali tu💔
Sacrifice ya wanaume sio ya kitoto🙌🏾🫡
Dear wafalme,
Mpaka unafika miaka 30 hakikisha una;
1. Leseni
2. Passport
3. Smart phone
4. Account ya benki iliyo-active
5. Japo 15 milioni ya akiba
6. Japo mtoto hata kama hujaoa
7. Chanzo cha kipato cha uhakika
8. Chanzo cha kipato nje ya ajira
Umekamilisha nini?