KATIBA MPYA NDIYO TANZANIA MPYA
#Uhuru wa kuongea ni wakila mtu #Ila -
kuna leo na kesho ishi kwa kuheshimu watu.
@simbasportsclub @chelseaFc @realmadrid
@ze_mandevu Ninge andika mm nisinge pata hata like moja. Me nashangaa watu wanavyo kuwa wana sema tumewakataa kisa chama wakati si hivyo, mana hata ingekuwa siasa bado wapinzani wachache sana kushinda chama tawala. Wapige kazj tu kama walivyo sema
Dah inanikumbusha mwanangu mmoja.
Nae alipata majini ya ukoo yakawa hayataki aishi mbali na nyumbani kwao (koo zao), jamaa alijifanya mbishi akaenda kijiji kingine kuishi dah yalimtembeza usiku alafu hayataki boda wala gari yani mguu mguu tu alafu haya fati njia mpaka home 😂