@BStani92 Hapana mimi napingana na wewe ishu ni kwamba wewe umekua. Kuna baadhi ya mambo ulikua ukiyachukulia muhimu kwenye kipindi hichi but now unayaona hayana umuhimu ila hayo hayo mambo watoto bado wanayaona muhimi
Hawa wanaume sio mbwa, wala aina ya kitu chochote kinachoonekana kibaya ni wazuri tuu na wana huruma mno ni wanadamu wenye nyama na wanafanya maamuzi wakiwa na sababu!! Sisi wanawake tunawabadilisha mno kwa matendo yetu na midomo yetu wenyewe!!!
Zambians don't have to thank me for the job I'm doing. It’s what they voted for me to do. They must not agree when I do wrong things like acquiring excessive debt.
#ChangeIsHere
Maisha ni Mafupi ukipata Nafasi ya Kufurahi Furahi, Ukimpenda Mtu Mwambie Unampenda, ukihitajika kutenda wema Tenda wema, Cha umuhimu zaidi usiache kuwacheki Rafiki zako kujua hali zao kuna leo na kesho
Rest In Peace Balozi Wa Mtaa
@FlavianaMatata@rollymsouth kuaminishana kua hakuna kitu kinaweza fanyika bila nyie ndipo mnapo anza kupotezana. Hakuna mwanaume ana penda dharau wala kejeri pia hakuna mwnaume anapenda au anaweza vumilia drama za kijinga ambazo zinaweza epukika. Tunawapenda ndio but mnajisahau sana @FlavianaMatata
@FlavianaMatata@rollymsouth lShida inaanzia kwenu wadada ambao mna fame inakwenda hadi kwenye zile kitchen mada sijui kitchen party mnaziita alafu zinakwenda hadi kwenye vikao vya vikoba na saluni hizi ndizo sehemu mnapo wahalibu wada wenzenu wengi. Pale mnapo anza kuaminishana upuuzi @FlavianaMatata