@AhmedBenBela_10 @MalisaGJ_ Katafuta chuo cha course za science kwenye vyuo vya serikali kakosa, mwisho wa cku kapata Kampala, mkopo kapewa 13 % je mtoto wa maskini kama huyo ataenda wapi na vigezo vyote anavyo?
@AhmedBenBela_10 @MalisaGJ_ Wewe nae kama hujitambui, kile ni chuo cha Serikali na siyo chuo cha binafsi. Wafanyakazi wa pale chuoni hawategemei ada za wanafunzi ndio walipwe mshahara. Acha kupotosha umma, mm kuna mtoto wa ndugu yangu kasoma saint kayumba kuanzia O level mpaka A level na kote ana division 1
@SoloDiBaller @maggy17tz Jaman kila mtu ana njia yake ya utafutaji, wengine ni wanafunzi lkn ni wafanyakazi, wengine ni wafanyabiashara pia wengine ni watoto wa Ma Dos so tusijadili kuhusu hili
@DStv_Tz Habari Dstv King king'amuzi changu kimegoma kuonyesha kina siku kama 4 hivi baada ya Mvua kubwa kupiga. Nahisi Dish limezeeka je Naweza pata Dish lingine na kuendelea na King'amuzi changu cha zamani?.
Pia Accounts zenu za kijamii wekeni namba za simu
@AbroadTanzania UE exams kesho Jumatatu trh 29/01/2024 maake wengi wamekamatwa njia hii. Inakuwaje Lecture hana matokeo mpaka ategemee mwanafunzi ndie ajitunzie Course work mwenyewe kama si rushwa na kuwataka wanafunzi kingono.
@AbroadTanzania kama kamtaji ka kujipatia pesa kwa njia hiyo kwa kuwa chuo kina wanafunzi wachache so wanakifanya kama wanavyotaka wao. Naombeni tuwasaidie kusambaza taarifa kwa Taasisi zinazohusika Kama NACTE na kwa Serikali kiujumla. Maake mpaka hapa wengine hawajui kama
@AbroadTanzania hapo ndipo atapewa mtihan wa kufanya awe na uwezo wa kuwa na course work inayomruhusu kufanya UE. Hali hii imekuwa inawafanya watoto wengi kuumizwa sana na hii hali na kuwapa wazazi mzigo mkubwa. Je utaratibu ndio ulivyo ktk vyuo vingine?. Yaan hapo TPSC walimu
@AbroadTanzania mwalimu anakuwa hana matokeo ila anamtaka mwanafunzi husika aende na mtihani wake mkononi ampelekee na akichelewa kuyapeleka au mwanafunzi hana basi imekula kwake. Kinachofuatia hapo ni mwanafunzi kutakiwa kulipia ada na kupewa special exams kwa Tsh. 120,000/-
@AbroadTanzania matokeo yake Lecture wa kila somo ndie anakuwa nayo mpaka pale mwanafunzi anapoenda kufanya UE exams, ambapo mwanafunzi anaenda kuhakiki matokeo yake tu either kwa mwalimu husika au kuwekwa kwenye mbao za matangazo au ktk mfumo husika. Sasa pale Tanga mambo ni
@AbroadTanzania Naomba tuwasaidie wanafunzi wa chuo cha utumishi wa Umma cha Tanga (TPCS) walimu pamoja na uongozi mzima wanawaonea watoto wetu.
Kikawaida mm ninavyojua kipindi cha Semister kunakuwa na Individual Asignment, Group asignment, Test hizi ndizo zinazounda Course work