December Kunakuaga na Vi Conference Kibao Canada sasa fanya hivi tafuta Mtu mwenye Kadi ya membership Akununulie hiyo Kadi upate invitation letter akinunua yeye wanauziwa bei ndogo kama inauzwa $500 wao wapata Kwa $200 au Chini zaidi Ukipata Barua omba visa Acha kukaa kifala