Juzi tulienda tao kununua side mirror ya Noah ya my friend, juu trailer ilikua imepita na side mirror yake hapo Mlolongo. So tukafika tao juu hatukua na gari tulikua tunatembea mguu, so jamaa akaona pavements na walkways vile zimetengenezwa vizuri hapo na pia bile ni kusafi, akaniuliza, sasa hapa mtu akitupa uchafu chini anashikwa, nikamwmabia mbona utupe uchafu chini at the first place, so akasema enyewe Kasongo anafanya kazi but ni wantam bado. Mimi nilicheka tu na nikamwambia uzuri umesema anafanya kazi hata kama unaimba wantam.