@MrB_Official04 Sasa si bora wao wanakula pesa ambazo wameomba na wamepewa kwa hiari ya watanzania wenyewe na kiasi kinakuwa kinajulikana zile za ripoti ya CAG zinakuwa zimetunzwa pahali au??? Ukiwa mkubwa alafu hauna akili ni taabu sana kwa familia yako.