Simba imara hujengwa na timu imara.
Nilipata nafasi ya kukutana na baadhi ya wachezaji wapya walioungana na kikosi chetu. Nina imani wataongeza nguvu, ushindani na ari mpya kuelekea msimu ujao.
Kwa umoja, nidhamu na kazi kubwa, tutafikia malengo makubwa tuliyojiwekea na kuendelea kuijenga Simba tunayoitamani. 🦁❤️
#Simba #Nguvumoja
Watu wa PLATINUM hawana jambo dogo 🙌
Basi la kwanza kwenda kwenye uzinduzi wa Wiki ya Simba ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro tayari limejaa. Basi la pili linaendelea kupokea Wanasimba kwa kasi. Wahi na wewe sasa. #NguvuMoja