@SimbaSCTanzania Sasa huu ndio ujinga na uhuni, hivi mnatuonaje sisi mashabiki! Mnatuona maandazi sisi sio, tuwe tunatoa tu pesa alafu mnafanya mnavyoona nyie tu sio, simba na yanga, pesa mmekula, simba na berkane taifa mnatakula alafu tukalipe tena Zanzibar, acheni hizo muwe na huruma pesa ngumu
@munyamambogo Hata sisi alituelezea hivyo hivyo, na ukisikia mwisho wa voice kanitaja mimi Jose, sisi tulikataa kwasababu alikaa almost week sasa sumu si inauwa ini, figo na moyo ila vyote vimepimwa viko sawa
@kimaramatosa@munyamambogo Ni ugonjwa,fuatilia utajua nini kilitokea, upande wetu huku hawakutupa majibu sisi waliongea na mgonjwa tena walitutoa nje wakaongea wao na mgonjwa, majibu mengine yametoka Tanzania