Kama haujapata mchongo wa kukupa hata 500k - 1M+ kwa mwezi basi hii itakuwa ni fursa nzuri kwa mwaka 2026.
Kampuni ya Yas kupitia washirika wake wa kibiashara wanatoa nafasi za kazi upande wa masoko kwa watu wote.
Soma uzi na share na wengine ambao wanahitaji kuingiza kipato:
Ukikaa chini ukitafakari kwa umakini utajua kuwa siasa za Tanzania hazina mvuto tena.
Hata uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni zero aura , hakuna muelekeo wala matumaini.
Hata kama Tundu Lissu ataachiwa huru siku moja kabla ya tarehe ya uchaguzi ana asilimia 98 za kushinda 🤴🏿.