@EliabuDanford nakumbuka wazee wa upande wa binti mwanzo waliandaa kunimaliza ghafla roho wa bwana akawashukia wakaanza kusema hata akiwa na 150k apewe ni heshima kumbuka ni kaskazin nimeenda vuta mama
@Maestrowafact hapa umewaza kichura MUNGU hayupo hivyo .. tuna mifano ya wana wa israel kufa zaidi ya hao kwenye maandiko na bado ni MUNGU aliruhusu hayo yote
Bwana Mungu wangu, nawe ni Nuru yangu na wokovu wangu.
Hata ninapoona giza limezidi, najua Wewe bado unatawala.
Nipe moyo usiotingishwa, imani isiyozimika, na macho ya kuona mkono Wako hata nyakati ngumu.