Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa Muembe (Mangifera indica) katika eneo la Bungi Kilimo, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 27 Januari, 2026, wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa. Rais Mhe. Samia alizaliwa tarehe 27 Januari, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi.
📍 Iringa
#HappyBirthdayMama#Miaka66
Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Zuberi kwenda kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
📍 Geita
#HappyBirthdayMama#Miaka66
Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Zainabu kwenda kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
📍 Singida
#HappyBirthdayMama#Miaka66
Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Ally kwenda kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
📍 Pwani
#HappyBirthdayMama#Miaka66
Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Meshack kwenda kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
📍 Kagera
#HappyBirthdayMama#Miaka66
Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Sabrina kwenda kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
BILIONI 10.5 KUNUFAISHA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO ZAIDI YA 100,000 WALIORASIMISHWA.
Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 1.35 tayari zimetolewa kupitia Benki ya NMB kwa riba nafuu ya asilimia 7 kwa mkopo wa mtu mmoja mmoja, mwanamke au mwanaume.
Daraja la Mkuyuni jijini Mwanza katika hatua za mwisho za ujenzi wake, kukamilika kwa daraja hilo kutapunguza msongamano wa magari kutoka katikati ya jiji kwenda Usagara.
KONGANI YA VIWANDA MKOA WA PWANI ITAZALISHA AJILA 600,000
Eneo la uwekezaji: Ekari 2500
Viwanda: 200
Ajira za moja kwa moja: 100,000
Ajira zisizo za moja kwa moja: 500,000
📍 Mwanza
#HappyBirthdayMama#Miaka66
Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Erick kwenda kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
📍 Manyara
#HappyBirthdayMama#Miaka66
Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Christina kwenda kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Jumla ya leseni 125,621 zimetolewa kwa wajasiriamali aidha usajili huo umewezesha mikopo ya asilimia 10 yenye thamani shilingi bilioni 33.454 kutolewa kwa vikundi 3,776 vya wanawake, vijana na wenye ulemavu.
Siku 100 za Rais Samia Suluhu, wafanyabiashara ndogondogo 119,595 wamesajiliwa katika mfumo wa usimamizi ili waweze kunufaika na fursa za kiuchumi. Kati yao wanawake ni 73,341 na wanaume ni 46,254.
📍 Tanga
#HappyBirthdayMama#Miaka66
Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Hamis kwenda kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
📍 Ruvuma
#HappyBirthdayMama#Miaka66
Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Mohammed kwenda kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
"Serikali imekamilisha usimikaji wa vituo 32 vya kufuatilia mwenendo wa mitetemo ya ardhi Pamoja na kununua vifaa vya kisasa vya utafiti wa jiofizikia na matetemeko ya ardhi, hatua inayoongeza usalama na uendelevu wa shughuli za madini." - Mhe Mavunde