🚨🇵🇹 Pedro Neto (26) vs Everton... ✨
• 100% shot accuracy, 3/3
• 35.5km/h, highest top speed in match 🥇
• 5 chances created, most in match 🥇
• 5 touches in opposition box, most in match 🥇
• 2 goals scored
Plus, he made 8 defensive contributions. Top performance. 👏
Mzungumzaji wa lugha 6 na kocha pekee mwenye kombe la dhahabu EPL. Mkuzaji wa vipaji aliyekataa kuhamia PSG, Real Madrid, Man United na Bayern akabaki Arsenal. Mwaka 2023 akaja Tanzania kuitazama SIMBA. Viongozi wa vyama vya soka Ulaya wanataka Arsène Wenger awanie Urais wa FIFA.
🚨Kuna muda huyu Kibaka wanamwita Jeshi akawa anapigwa MTUNGO na wahuni, Akigeuka Mpanzu huyu hapa, Hajapumzika vizuri Oura kafika, Hajapumua vizuri akaletewa Treni ya Umeme Keletso anakimbia kama anadaiwa 😆
HII MECHI HAWEZI KUISAHAU MAISHA😂