@SuluhuSamia Mh. Rais sijawahi kufika Dodoma kushuhudia jitihada hizi kubwa za maendeleo katika nchi yangu, hongera kwa kazi kubwa ya kuhakikisha nchi yetu inapiga hatua katika maendeleo. Ziara nyingine endapo utakuwa na nafasi naomba mwaliko nami niweze kushuhudia kazi hizi ulizozisimamia.