@moodewji@SimbaSCTanzania Ila Mwamedi ni Muongo sana Je siku ukiwa na pesa zako mwenyewe si utawaburuza sana wana Simba. Simba wanataka Mzigo wao wa Bilioni 20 japo sio thamani ya Simba ambazo uwezo wa kutoa huna.
*Tanzania inafuatilia kwa karibu sana mienendo na matukio yote katika mchakato wa uchaguzi nchini Marekani, ili kuhakikisha kuwa haki inatendeka, na uchaguzi huo unakuwa ni huru na wa haki. Tanzania haitavumilia vitendo vyovyote vile vya uvunjifu wa haki nchini humo.....!!!!!*
@kigogo2014@MariaSTsehai Kwani hii ni Yao? Je ya tz yanawahusu nini? Jambo la uchaguzi tumelimaliza kwa Amani. Mbona ya kwao hayatuhusu? Acheni kuwapapatikia wazungu huko ni kufirisika kwa mawazo. Kama mnawapenda nendeni mkaishi kwenye nchi zao.