Siku ukipiga hatua/ukajipata ndugu ambao hawakuwepo, walikuwa busy na mambo yao wakati unasoma, unapambana, unajitafuta, unateseka, unaumia ndo hujifanya wanakujua sana ndo wanataka undugu sasa. Watataka uishi wanavyopenda wao ukienda nje ya matarajio yao watakulaumu, kukusema vibaya, una dharau unajisikia na kadhalika. Wanasahau kabisa hawakuchangia chochote wala kuwepo kwenye maisha yako wakati wa mateso yako.
Sikiliza komaa kwanza na waliokusaidia undugu wa damu bila msaada hauna maana. Waweke kwenye nafasi wanazostahili. Haimanishi usiwasadie ila wasijipe nafasi ambazo hawana kisa undugu wa damu. Watu wanapenda kuvuna mahali ambapo hawakupanda.
Habari za mchana wandugu,
Naomba kulileta ombi hili kwenu, tumsaidie Averina aweze kukamilisha usajili wake Ili aweze kufanya mtihani wa semester ya kwanza.
Yupo mwaka wa tatu IFM Mwanza campus
Averina Revocatus Msese
Kumbukumbu namba: 991460533531
Natanguliza shukrani
Kwa wale mnaopenda kusali Zaburi. Unaweza kuanza na Zaburi 51 ya toba, kisha Zaburi 35 ya kuomba kupiganiwa halafu Zaburi 91 ya ulinzi na baraka, malizia na 23 ya wingi na baraka. 🙏🏻
Baraza la kwanza la Mawaziri la Tanganyika ndilo baraza lililokuwa na viongozi wenye umri Mdogo kuwahi kutokea katika historia ya nchi za Madola. Wastani wa umri wa mawaziri ulikuwa ni miaka 37 tu. Baraza hili lilikuwa la vijana makini sana. Je unaweza kuwataja mawaziri hawa?
FAIDA KWA WOTE.
Kama Upo Busy Na Kazi Halafu watu wanakupigia simu kila wakati piga *#*#600400*#*# ataambiwa mwenye simu yupo mbali na simu na ukitaka kutoa piga #29#
Unajua kwanini Mungu ataingilia kesi yetu hivi karibuni?? ni kwa sababu kule mbele kuna giza zaidi ya hili. Kuna mtu ananyemelea kule juu. Ni mbaya sana, ni Shetani-mwanadamu, kwa nje kama mkristo, mpenda watu, mtoaji. Ila hatutafika huko. Mungu ameshamuona, ameshamzuia.
Kwenye maisha usije kumdharau au kumchukulia poa rafiki, ndugu au mtu yeyote yule ambaye hana ajira au chanzo cha mapato. Maisha hayatabiriki na meza huwa zinabadilika. Unayemdharua leo, kesho unaweza kumtegemea kama chanzo chako cha mapato. Inua na saidia wengine kadri uwezavyo
Zawadi za wakulima
Asante sana mdogo wangu @GeraldLudovick
My heart is warm 💞
Kwa mahitaji yako ya hoho nyekundu na njano kwa Dodoma mcheki tajiri mwenye hoho zake
Kwa namba 0626585709