Guys ukiwa una Ndugu /Jamaa/Rafiki
na bado unahitaji bado aendelee kua Ndugu yako /Jamaa yako /Rafiki yako
Usimkopeshe Pesa Siku ukimkopesha tu pesa Ndio mwisho wa kila kitu✔️
Hatuna Wazazi Matajiri Hatuna Baba mdogo ubalozini wala shangazi hapo bungeni hatuna shemegi wala kaka kwenye system hustle zetu ni kama msitu tunapasua ili kutengeneza njia yetu kila kitu ni sisi dhidi ya DUNIA ni sisi na MUNGU wetu,Mechi ya ugenini hii ila TUTASHINDA💪
Mara ya kwanza kabisa kuachwa vibaya sana na Mwanamke ilikuwa FORM2, sasa nikajifanya naumwa sana ili apewe taarifa anihurumie, Mwanangu akarudi kuniambia amesema bora nife nachelewa nini?😀
Mshenzi sana yule Bint 😀