#HABARI Jeshi la polisi mkoani Mwanza limeanza kufanya uchunguzi wa afya ya akili kwa mtuhumiwa, Rodgers Sunday mwenye umri wa miak 41 mkazi wa Kijiji cha Usagara wilayani Misungwi kufutia tukio la kumwingilia kuku hadi kufa kwa lengo la kujiridhisha kimwili.
Tukio la mwanaume huyo kumwingilia kuku ili kujiridhisha kimwili ni miongoni mwa matukio machache yanayoripotiwa kutokea wapo wanaodai ni imani za kishirikina na wengine kuamini ni dalili za ugonjwa wa afya ya akili.
Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mtafungwa amethibitisha kumshikilia mtuhumiwa huyo na sasa uchunguzi wa afya ya akili unaendelea.
#EastAfricaTV
Kuna vocha ya Tshs 20,000 mtandao wowote kwa mtu wa kwanza KUWEKA MATOKEO SAHIHI ya hizi mechi mbili za watani hatua ya first leg
Mfano: Simba 2 - Al Ahly 0
Yanga 2 - Mame 2
JINSI YA KUSHIRIKI
1. Weka matokeo sahihi
2. Retweet hii tweet
3. Follow @Watu_Mikeka