Jijengee kautaratibu ka watu wako wa karibu kuto wakutanisha na watu wako MUHIMU, kama unahisi nakudanganya we endelea usije sema sikukuambia LWAKO๐ฉ
Tunavyo kuchukulia sisi Amini ni matokeo ya wewe mwenyewe unavyo jichukulia mbele yetu ko usi tulaumu namna tunavyo kuchukulia, JIFUNZE KUJIPA THAMANI MWENYEWE.