Acha uongo.
Mimi ni Katibu wa Mkoa wa Tabora na sihami. Sina hizo ngojera zenu. Nimewasiliana na viongozi wangu wengi tu wa Majimbo na Wilaya na hawahami. Hizo ngonjera zenu zina watu wachache tu. Usituunganishe mkoa mzima.
Bwana John Acha uongo.
Mimi ni Katibu wa Mkoa wa Tabora. Sijahama na sihami. Unamaanisha nini unaposema viongozi WOTE wa Mkoa wa Tabora?
Nimewasiliana na viongozi wa majimbo wengi hawana muda na ngonjera zenu.
Tunawajua kwa majina wote walio nyuma ya mpango huu. MTASHINDWA.