Mwanzo TV imezindua maudhui ya premium na ya kipekee kwa ajili yako. Unaweza kuwa Mwanachama wa Chaneli yetu ya YouTube leo ili upate kufahamu zaidi yanayotokea nyuma ya pazia, kupata maudhui ya kipekee pamoja na kutazama video mpya kabla hazijatolewa kwa umma.
Ili kuwa Mwanachama, Bonyeza kiungo👉: https://t.co/qkSYR6WVY6
🔥KIMEWAKA: METHU AMPASHA RUTO HADHARANI:
"Rais Ruto Mimi sikuogopi, Ata Unifanye Nini, Ata univuruge!" Methu akuzungumza katika mazishi ya Aliyekuwa Mbunge wa Ol Kalou, David Kiaraho https://t.co/D9QKhD5Gzk