Usifurahi sana juu ya kurudi kwa urafiki wa zamani au uhusiano kwamba unasahau jinsi walivyoondoka.
Wanaweza kuwa wanarudi tu kwa sababu hawakukubaliwa walikokwenda.
Na hawakuwahi kupata upendo kama huo uliowapa kutoka kwa wengine.
Kurudi kwao si lazima kwa sababu wanakupenda.Mwana Mpotevu hakurudi kwa sababu alimpenda baba yake. Alirudi kwa sababu alikuwa na njaa.
Uaminifu wa rafiki aliyevunjika unaweza kukuvunja wakati wa kujaribiwa. Acha urafiki tena na nyoka ambao walikataliwa na kizazi, walijaribu kujiunga.
Haijalishi ni upendo gani unaoonyesha nyoka, bado itakuuma.
Cheers to all the love, joy, peace and success we had in 2024🥂
Cheers to the people who had our backs throughout our breakdowns🥂
Cheers to all the good wishes we have for 2025🥂
I wish that 2025 will be transformative year to you and your family❤️
TOT RUNNERS @TOTRunners ni washiriki Rasmi Tar 12 Oct
Mbio ya maazimisho ya miaka miaka 5 toka Klabu ianzishwe yenye lengo la kuweka mazingira Bora ya Elimu kwa Jamii yetu katika shule ya Msingi Benaco
Jisajili sasa kupitia TOT RUNNERS
#TOTrunners#Salasalarunners
That feeling of assurance and reassurance from that one person who you love the most has the most powerful energy anything can give you😇
#loveandhappiness
Mwamba sana huyu, tutakuwa naye Mjengoni Jumanne hii.Historia ya Maisha yake inasisimua mno, safari ya maisha yake ya Muziki imepambwa na magwiji wengi mno. Usikose kufuatilia kipindi Cha MAISHA NA MUZIKI Jumanne hii saa 9 Alasiri ili ujue kwa undani historia ya Maisha yake n.k
JUMANNE HII KATIKA KIPINDI CHA MAISHA NA MUZIKI🔥🔥🔥⛪
Unamfahamu Mtunzi wa nyimbo hizi maarufu; JIWE WALILOLIKATAA WAASHI, MAOMBI YANGU YAFIKE MBELE YAKO, UCHUNGU KAMA UPANGA, UKUMBUKE BIKIRA MARIA (MEMORARE) na nyingine nyingi na nzuri!? | Ni Mwalimu BENEDICT SIMFUKWE.
Happy Women's Day (still ongoing)✌️
To be exact, there wouldn't be any Women's Day recognition without men so shout out to all loving, caring and respectful men out there❤️