Captain Ibrahim Traore of Burkina Faso 🇧🇫 responds to US threat of arresting and eliminating him with possible invasion of the country. "We either agree to fight for our country or we remain slaves forever”.- Captain Ibrahim Traoré.
Mda umetutupa mkono Vijana Wazalendo wa Taifa hili tutaitisha Maandamano Nchi Nzima. Ya kuwapinga Vibaraka wa wakoloni na Kutaftia Nchi yetu #KatibaMpya iliyo bora na utawala wa Sheria.
#FreeSoka Maandamano hayana tarehe wala saa na yakianza nimpaka tupate #KatibaBora.
Kwa nyakati tofauti Mungu huinua ujweli kubariki Taifa.
Huu ni ushuhuda mwingine.
Je wengine hawajui haya?
At least Mhe @HKigwangalla aliamua kuivaa sura ya utu na Haki kwenye suala la Ngorongoro tofauti na Mawaziri wote waliowahi kuongoza wizara ya MaliaAsili na UTALII.
RAS wa Mkoa wa Arusha alijifanya anaenda Ngorongoro kuongea na Wamaasai wamemfukuza wanamwambia hapa aje Rais @SuluhuSamia ndo tutamsikiliza.
Sema huyu jamaa kaongea kwa uchungu mpaka roho imeniuma.😭
Ni siku ya tatu Wamaasai wa Ngorongoro wanaendelea na Maandamano wamesema wataendelea kuandamana mpaka pale Rais @SuluhuSamia atakapoenda kuwasikiliza shida zao maana wamechoka manyanyaso.