Finance experts,why is it that Kenya has the strongest currency compared to Japanese Yen while in terms of development wametupiga 10 nil? On the other hand,Ghana currency yao imetushinda but ikikuja welfare hawatuoni. How does this work?
“MIMI NINA GROUP O, HAYO MAGONJWA SIUGUAGI”
JE..? ukiwa na damu kundi O, Magonjwa hayawezi kukugusa?
Au ni porojo tu za mtaani?
Maana naona watu huwa mnatamba na Blood Groop O kwamba hampati UKIMWI..??
MAJIBU YAKO HAPA: Thread:⤵️
MAMBO 8 YA KUZINGATIA MWANAUME;
UZI 🧵 👇🏽
1. Kamwe usibembeleze mahusiano.
Unavyobembeleza upewe upendo, unapoteza heshima
Wanawake hawavutiwi na wanaume wasioweza kujizuia na wadhaifu,
Mwanaume mwenye akili anajiachia anapokataliwa.
Halazimishi, habembelezi wala kufanya ushawishi wowote ule ili awe na Mwanamke.
Kama mwanamke anakutaka pia, atakufanya ujue
Kama hata hajiamini kwenye maamuzi yake muache aende zake. Mwanaume mwenye akili hapotezi muda kuendelea kugonga mlango ambao haufunguliwi.
Kulazimisha mahusiano kwa ushawishi wa vijizawadi na hela utakuja kulia kwenye space au mbele za watu.