Financial lenders are increasingly embracing digital banking and expanding credit access to grow their market share amid evolving regulations and economic pressures
#KBCniYetu
Residents of Koitebes and Kipngorom in Mogotio Constituency, Baringo County, have welcomed the restoration of mobile phone connectivity following the construction of a telecommunications mast ordered through a presidential directive, ending years of communication challenges in the area
#KBCniYetu
Wachezaji wa rafting kutoka maeneo mbalimbali nchini walikutana Sagana kwa majaribio ya kitaifa ya kuchagua timu ya Kenya itakayoshiriki Mashindano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika nchini kuanzia Julai 5 hadi 12
#KBCniYetu
Serikali imehakikishia timu ya Kenya itakayoshiriki Michezo ya Jumuiya ya Madola 2026 mjini Glasgow, Scotland, usaidizi kamili huku kikosi cha wanariadha 52 kikijumuisha nyota wa mbio za kasi Ferdinand Omanyala na Wesley Kinyamal
#KBCniYetu
Chuo Kikuu cha Tharaka kimetangazwa kuwa chuo kikuu bora zaidi cha umma nchini baada ya kuongoza katika tathmini ya utendakazi wa mashirika ya umma ya 2024/2025
#KBCniYetu
Zaidi ya walimu 240 wamepatiwa mafunzo ya matumizi ya maabara za mtandao ili kuimarisha ufundishaji wa masomo ya STEM chini ya mtaala wa CBE. Mpango huo unalenga kukabiliana na upungufu wa miundombinu ya maabara shuleni na kuwapa wanafunzi fursa ya kufanya majaribio ya sayansi kupitia teknolojia ya mtandao
#KBCniYetu
Viongozi wanaounga mkono serikali jumuishi wamepongeza kupitishwa kwa Mswada wa Fedha wa 2026, wakisema ni hatua muhimu katika kuimarisha ajenda ya kiuchumi ya taifa
#KBCniYetu
Polisi huko Nyali wame wakamata Wana umme wawili wanao shutuniwa kueneza madai ya uongo kwamba Kuna wainjilisti wanane ambao walikua wachawi na kufanya sehemu za Siri za Wana umme kutoweka
#KBCniYetu
Serikali ime wahakikishia wakimbizi wanao ishi nchini kwamba utekelezaji wa mpango wa shirika plan utaendelea licha ya kupungua kwa ufadhili wa kibinadamu kote duniani
#KBCniYetu
The Office of the Registrar of Political Parties has stepped up electoral preparedness initiatives in the Lower Eastern region, engaging youth, persons with disabilities, civil society organizations and faith-based groups on their role in promoting inclusive and peaceful elections ahead of the 2027 General Election
#KBCniYetu
WORLD REFUGEE DAY
"We call for stronger support for all those forced to flee, as well as the countries and communities hosting them."
~ António Guterres, UN Sec-Gen
#KBCniYetu ^PM
LEADING BY LIFTING
"True leadership is not about standing above others, but lifting others up to stand alongside you."
~ Oburu Oginga, ODM Leader
#KBCniYetu ^PM
Nakuru Governor Susan Kihika, Housing CS Alice Wahome, Kapseret MP Oscar Sudi, Kikuyu MP Kimani Ichung'wah and Molo MP Kuria Kimani lead an empowerment drive in Molo.
#KBCniYetu ^PM
Head of Public Service Felix Koskei graces the Chepo Laleiyo Festival that celebrates the rich cultural heritage of the Tugen, Pokot and Ilchamus communities.
#KBCniYetu ^PM
Wamama Na Ruto Movement has called for the release of ID cards which were applied two months ago by youths in Kericho County but are yet to be issued to the applicants
#KBCniYetu