Bila Wewe Mungu hatuwezi ... Ni wakati wa kusifu kwenye #ShangweNaUtukufu ukiwa naye @MmboneMercy1 hadi saa saba mchana . Unakamata position ya shangwe ukiwa wapi ?
@FrankTheDeejay anakupakulia mziki .
Ni Tuesday maridadi na wakati wa kupanga Kazi ndani ya Kazi Mpango hapa @Milele_FM . Unapanga Kazi gani ? Nipe salamu za kazini .
Nipate kwenye You Tube kupitia https://t.co/4vNEEJcoPW Subscribe 🙏
#MercyMmboneMilele
Good morning . Ni wakati wa Kazi Mpango hapa @Milele_FM Hadi saa saba mchana . Salamu za kazini Kwa Nani ?
In the meantime check out Summit Institute of Professionals Ltd and Enrol for Hospitality Courses.
Call 0745560764
#MercyMmboneMilele
Good morning . Ni wakati wa kumsifu Mungu Kwa matendo yake makuu maishani mwetu . Karibu kwenye #ShangweNaUtukufu hapa @Milele_FM .
Kumbuka kutazama wimbo wangu mpya kwenye You Tube https://t.co/4vNEEJcoPW
Good morning. Amekupa afya na uhai bure , Una kila sababu ya kusifu Huyu Mungu . Tupatane kwenye #ShangweNaUtukufu@Milele_FM kuanzia saa tatu Hadi saa Saba .
@FrankTheDeejay