Ndioo.... #IweJuaIweMvua ๐ฅ ๐ฅ
Makundi tutaingia Insha'Allah ๐๐ป
Ndio Slogan tutakayokwenda nayo kwenye mechi dhidi ya El Hilal ktk Ligi Ya Mabingwa tarehe 8/10 Mwaka huu.
Kila Mwananchi afanye jitihada za kuhakikisha tunajaza Uwanja na kwenda kushangilia Club yetu siku hiyo.
Niliwaambia hapa, punguzeni kutoa bahasha kwa waandishi ili msifiwe mna timu, ila ukweli mchungu timu ya kushindana na Yanga kwa sasa hamna, kiko wapi sasa?
๐๐๐๐ ๐ฃ๐๐ข๐ก๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ๐
Back to back Community shield winners 2022/23. We'll beat tem everytime we meet๐คญ
CLUB ABOVE ALL ๐ฐ @YangaEnglish
AFTERNOON UPDATES|๐ฐ
You can wear our jersey on your weeding and everyone will wish to have pictures with you. Remember we are the most loved Football Club in Africa๐ค๐ฐ
Wear your jersey then tag us, I'll retweet.