Na vijana hii kitu mnaskia inaitwa mapenzi,hii nataka mkae ngangari nayo. Manake hii kitu mkichesa,mtaadhirika mbaya sana. Hii watu inaitwa wanawake,lazima ujue kusoma meter yao,otherwise utaona kile kalonzo aliona kule satafrika kwa sangoma. Kitu ya kwanza usiwahi uliza mwanamke ‘ama nakusumbua?”, wewe ukiona nikama unamsumbua,jikaze na usitafute yeye,kama hatakutafuta jua hapa mambo ni luwere luwere. Ulikua unamsumbua
Huyo inataka unaGachagua yeye,yani unatwanga yeye block ata asione DP,alafu chukua 150 kwa savings teremka githurai mahali inaitwa Airport,chukua flight,toa hiyo kutu inakusumbua. Kitu ya pili,Mwanamke ukiskia anakulilia tushida twa upus,mara ooh I have seen cute dress,mara ooh theres this phone I’ve seen,ujinga isikuingie udhani wewe ndiye yesu wa kuokoa watu wako na shida. Kama yesu angetaka akue na hiyo kitu,angemtumia pesa yake.
Sasa hapa inatakanga unaambia yeye “thats nice” . Alafu akiona humuulizi kama anataka umnunulie,ataakuuliza kama utamnunulia, mwambie “nitaona”. Just that. Alafu jioni omba yeye mzigo,akikunyima ujue umeponea mtego. Juu ata kama ungenunua iyo mavitu ya ughasia,hungepewa kitu. Chukua 150 ingine teremka githurai,chukua flight,unarudi nyumbani ukiwa sober.
Vijana mimi nataka mjue kuepuka hii mitego,sisi hatukua na watu wa kutupea hizi siri,tumeangamia namna atari sana
Pale corporate utapata kuna female collegue mko salary bracket moja lakini lunch time mkienda kukula anataka wewe umlipie bill because you have shown slight interest in her. Vijana mkikaa mbaya hii Nairobi mtalia sana,Kaa ngumu!
Kitu sasa inaniuma sana baada ya kuhamia kikuyu. Ni Pale sasa nilihamia kwa apartmet iko na lift kila mtu ako na parking mbili. Lakini bado kuna watu bado wanasema haitoshi. Kama huyu jirani yangu ako na land rover na forester,na bibi yake ako na Cx5, Sasa mimi juu sina gari,imebidi nimepatia wao parking moja,juu ningekataa wangejua naskia wivu. Sasa hii parking ingine imebaki yangu,hapo ndio huwa naenda naweka kiti yangu ya plastic saturday. tunaota jua pamoja na hawa househelps wa uganda. Woi! Si mnunue CCTV jameni angalau ata niweke kitu kwa parking bwana,ata kama ni kanissan Note. Ama nirudi mwiki nipigangwe ngeta kila Wiki na waburundi. Eih! Khabusie!
The truth is alot of women are lazy in bed. They put sex as an act that should be done to them and not with them,kazi yao inakuanga kupinduka kama chapat kwa pan. But make no mistake,there are also women out here who have libido of an ethiopian camel. They are rare but there. Si mimi nilipatana na kamoja,kutoka mahali inaitwa kasphat,kule kiambu.That was the first time I got out kunorwod by a woman. Na ni kafupi ivi,kiatu kanavaa size 4, single mother of one
Kile hiyo kamama ilinionesha aki ata ndio nashuku ilifanya baba mtoto apotee. Sababu sasa ilifika mahali,nimeshaatandika yeye raondi mbili,dakika ishirini ishirini,lakini bado kameniangalia,kanablush. Nikashangaa kwani niko nchi gani bwana? Kakaniambia sasa nilale kwa kitanda,niangalie juu kama niko kwa geneza,kanioneshe. In the book I am currenty writing,there is a chapter called “demon from kasphat”
I will explain to you why kindergerten teachers with macho nne are demons. Sababu sasa kaliniweka ata style ingine sijai ona,ile sasa kameangalia nyuma,silaha yangu kameikamata namna hii kama microphone,kanailamba lamba namna hii kama sweet, alafu kamenikalia shingo. Na sianda maduong! Kidogo kameanza kubounce. Ile sende inaniangukia uso namna hii naskia nikama nagongwa na airbag ya gari imepata accident bwana,sende ni mzito. Kwani unachesa wewe!
Ilibidi nichune yeye matiti aki,nikavuruta nippos. Sababu hapa nilikua naelekea kuingia sayun. Wewe ukiona mwalimu wa nursery amevaa macho nne kimbia,kimbia tafadhali ndugu yangu. You will die! Mimi sijai rudi kasphat
Na vijana tulisema hii pesa hatutafuti tuweke bank. Hii pesa tunatafuta ndio tupunguze mateso hapa duniani. Money is an accesory for your daily life, not a trophy to store in the cabinet. Sasa isikuwe ati wewe ukipata pesa unaskia uwoga ya kuitumia isiishe. Ya kuisha itaisha ata uchune shilingi moja kila siku. If you can post pone suffering for atleast one day please do,juu kwanza wewe ata hujui utakufa lini.
Na shida ya hii kitu tunaita poverty,ni inakuwachanga na majeraha. Yani mpaka ata siku utapata uwezo kifedha,unaogopa kujipa pole pesa isiishe urudi mtaro tena. But we cant live like that,can we? Unajua ndio maana ata mungu aliambia hii mutu inaitwa Lot, wakitoka gamorra wasiangalie nyuma. Aende na aende kapsa. Sababu ukiangalia nyuma utapata taabu nyingi sana
Ndio maana mimi nilihamia hii apartment iko na lift. Kuna contract nilipiga ya conservancy ingine pale nakuru,hiyo itanishikilia rent hii mwaka. Next year wacha itajipanga Juu mimi naye kujinyima nimekataa. Makosa tu nilifanya baada ya kuhama ni moja,niliangalia nyuma kama bibi ya loti,nikaita majirani yangu kutoka kasarani ati wakuje house warming,wakaniibia sahani ya micro wave
Sahii sasa nataka pesa ikikuja msuri tena,niingie golf club. Hii ya hapa Karen. Hapo ndio mtakua mtatupata na uhuru tunaongelea shares za NCBA,nyinyi endeleeni kuogopa kutumia pesa nugu izi. Mtakufa muwachie yote apa
Tangu nihamie huku kwa lift class imepanda sana nakwambia. Mimi ata situmii Tissue siku hizi ,Tissue is for peasants bwana. Huku sasa kuna kitu inaitwa Flushable wet wipes. Hii ukitaka unanunua kwa supermarket,huezi pata yeye kwa duka. Kitu very smooth. Ile unapangusa nayo nyungulus namna hii unaskia kweli life is good. Haigwari west pokot kama ile matissue yenu ata inawesa wapatia blisters,hii iko na connection ya 5G,inaslide kutoka kerio valley ikifika west pokot imefagia kila kitu. Mimi vijana nawaombea sana njia zifunguke,angalau muwache kujigwara mkijipangusa,khabusie!
Mimi naye siwezi oa first born akiamungu. Kwanza ikue sasa ni first born from a humble backgroud,ule watoto wao wakifunga shule wote wanachukuanga virago wanakuja kulala kwako nairobi,alafu kuna sasa hawa wametoka boarding school appetite nikama ya Ruto,mtu anaangusha chapat saba supper bwana. Aye! You will see bad things. Unajaribu kujenga nyumba lakini haijengekeki,sababu ule ameoa anashighulika na mambo ya kwao bado,niyeye ata analipia watoto ingine school fees. Hiyo nikama kuendesha gari haina miguu ya nyuma bwana. First born daughters wachana nao aki ndugu yangu,unaoa mtu anakwambia muanze kufikiria vile mtavurutia wazazi wake stima kule chepalung’u. Mnaitisha quote ya kplc wanasema 3 million. Si heri niingie somalia nitoke na mdorobo moja maridadi,nilipe dowry ya 50 sausand nibaki na 2.9 million. Kama unaoa first born wewe! Ole wako!
Mimi nimelemewa na hii wasichana ya kenya,sasa nataka tushikane jamaa kama tano hivi tunahire gari,tuandamane moja kwa moja mpaka Ethiopia. Tuingie huko kwa vijiji tujitafutie mabibi. Na tunatafuta wale wametoka kwa shida mingi,ndio tukiwaleta huku tusinyaganywo. Wale unajua ni watoto wamelelewa na heshima,wanafunzwa kuheshimu mabwana zao,sio kama hawa wa Kiambu wanafunzwa kukorogoea bwana zao steelwool
Wale wa Ethiopia ni wanawake wenye heshima. Ndio maana huskiangi mambo na divorce kule,the wives are happy. As long as you provide for her and the children,yeye hana shida. Mwanamke wa heshima,Unaingia kwa nyumba namna hii unaskia amesema “Haye,kgharibu nyumbani my king,my conquerer” ,saa hiyo amepika uji ya wimbi,na maji ya kukanda mabega inachemka. Kwani unachesa wewe!? Mimi nimechoka kuingia kwa nyumba naulizwa kama sikua nashika simu juu nilikua juu ya malaya. Ai! Hapana,Wacha twende Eithiopia wazee
Na ndio ujue hii middle class ni ughasia tupu,sisi sasa tuliamka 6am kujitayarisha ati tunaenda hiking. Kupanda milima,na tumelipa fee pia ya kupandishwa hiyo milima. Na ni ile milima nilikua napanda ocha nikikimbiza Ng’ombe imepotea. Nitarudi kasarani mimi,ata kama ni lift apana
I need a fat woman around kikuyu whom we can agree on an amount I can pay her so that I can anchor myself on her when Elnino comes we float together. Vile naona mambo kule japan hapa kenya we’re not ready for these rains akiangai,hii mitaro tunajichimbisha apa ni ughasia tupu
Tangu nihamie hii apartment iko na lift sijapika omena. Ni spaghetti,Omlets,French beans,na ugali number one. Mungu ni mwema,Officially a middle class. Please direct me to anyone selling a cheap chiwawa in kikuyu
Kuna miaka pia ukifika you should also have a standard and grounded dress code. Hii madoido miingi unawachia vijana ya unifasti. Just dress modestly,and smell nice. Sio uko 30 years na bado unavaa long’i imekatwo katwo magoti,na kabag kwa waist kama mama mboga. Surely baba janet
Kule kwa 9-5 ule jamaa alibeba omena leo aliitwa na HR lunchtime akaambiwa aende azikulie nje kwa stairs juu ofisi mzima itaanza kunuka Homa bay. Na akaambiwa asiingize hizo vitu kwa micro wave,atumie jua. Ni mbaya!
My brother daddy oven naye nikama alirukwo ndoa kule kwa kasongo after realizing he has not released a hit song for 17 years bwana. Jamaa naona ikiingia secular na fujo sana. DJ chesa mapenzi kizungumkuti by tony nyadundo na usiweke chiki chiki
Shida ya kulelewa into the badlands where the only guaranteed thing is sufferation,is it comsumes you. Things like kindness become strange. Ndio maana sahii mimi dem akiniambia you’re a good man,huwa naanza kujichunguza,naonanga nikama nimekua fala. Hatujasoea ii maneno aki
Na vijana sababu leo ni sunday wacha niwaambie kitu hamtai ambiwa ata kanisa. If you approach everything mathematically in this life,ukianza kuangalia kila kitu inakubenefit jinsi gani,you’re going to live very miserably. Almost everything in this world is non beneficial. There are things we need to have not because they are exactly beneficial to us,but because they satisfy our souls. Vitu kama gari,mathematical wise,cars are very big liabilities. Mafuta,spare parts,service and repairs,its absolutely headache.
Na sio gari pekee,even natural things,like having a girlfriend,or a wife,it doesn’t make sense mathematically. Its like a loss making business. Mara naumwa na magoti,mara babe i need a wig,mara ameibiwa simu anataka ingine,it makes no economic sense being in marriage. But despite this plain sight fact,in having these persons around,you feel satisfied. There is joy in this loss making business,econimists would slap me for saying this but its true
You cannot engage capitalism with matters of the heart. Some things make no absolute sense rationally,but the soul wants them,regardless. Na hii pesa hatutafutangi ndio tukue nayo mingi,tunatafuta ndio tupate hii amani ya roho. Aloo!