Tuzo 6 Za MOMT Kwa Pacome 🔰
Yanga vs Jkt Tanzinia🎖️
Singada Black stars vs Yanga🎖️
Yanga Vs Fountain gate🎖️
Tabora united Vs Yanga🎖️
Yanga vs Costal union🎖️
Mashujaa vs Yanga🎖️
Rasmi Kuanzia Mzunguko wa 13 Ligi Kuu Ya NBC🚨itaanza Kutumia video assistant referee (VAR)📹 kwenye Baadhi Ya Match Zake✅
Viwanja Vilivyoanza Kufungwa technology Hiyo ni Azam Complex,Kmc Complex na Benjamin Mkapa🏟️
🚨Kikosi Changu Bora Cha Ligi kuu NBC.
1.Diarra
2.Yao Kwasi
3.Pascal Msindo
4.Bacca Ibrahim
5.Dickson Job
6.Khalid Aucho
7.Maxi Nzengel Mpiah
8.feisal Salum
9.waziri Junior
10.Azizi Ki
11.kipre Jr
Kocha:Miguel Gamond
Club Ya Yanga Kuelekea Mchezo Wa Kesho dhidi Ya Namungo🔰Itawakosa Wachezaji Wake 4 wakimataifa.
Diarra
Lomalisa
Aucho
Pacome
Sababu Kuu ni Matatizo Ya Kifamilia na Injury🏥
Club Ya Yanga Inatarajia Kumuongezea Mkataba,Beki wake Ibrahim Bacca🔰na Kuzindua Hamasa Kuelekea mchezo Wao wa kimataifa wa Tarehe 2✅Mchezo Huo utakua Maalum Kwaajili ya Bacca/Mudathir 📌Golden Tulip-Zanzibar📍
#DaimaMbeleNyumaMwiko
🚨Klabu ya Yanga iko Kwenye Mazungumzo na Striker wa Asec Mimosa📌SANKARA KARAMAOKO(19) kama mbadala wa Fiston Mayele👋Mazungumzo Hayo Leo Mchana Yatafikia Tamati,kama mambo yatakwenda Sawa nyota huyo ataanza Safari ya kuja Tanzania kukamilisha Deal Hilo🫡
🚨Mlinzi wa Pembeni wa Kimataifa wa Congo na klabu ya Yanga🔰DJUMA SHABAAN🇨🇩Anakaribia Kujiunga Katika Club ya Tp Mazembe📌Yanga watanufaika na Deal hilo,Hii inakuja baada ya mchezaji huyo kubakisha Mwaka Mmoja kwenye mkataba Wake✍️