لا أعلم من سأكون،ولا أعلم أين سأكون،ولاكن أعلم أن الله سيختار لي الخير
//
Idon't know who I'll be.And I dont Know where I'll be but I know Allah will choose whats The Best for me... Inshallah
Kusema " *Samahani*" kunahitaji kiwango cha juu cha uwezo wa kiakili na mtu mwenye akili iliokomaa pekee ndiye anayeweza kufanya hivyo bila kujikalifisha. Daima jivunie kuwajibika kwa Matendo yako"
Kukubali makosa yako na kuwajibika kwa matendo yako kunahitaji ujasiri na Unyenyekevu wa hali ya juu.
Watu wanaweza kuelewa vibaya uwajibikaji wako kama udhaifu, ingawa uwajibikaji wako unaangazia tabia yako iliyo wazi
Nawatakia Waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutujalia baraka ya kufikia tena kipindi hiki muhimu katika imani.
Yeye Mtukufu Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu, Yeye tegemeo letu, Mwenye kutuona tunaposimama na mageuko yetu kati ya wanaosujudu, Yeye Mwenye kusikia na Yeye Mwenye kujua, atuongoze sote katika kufanya ibada, kusamehe, kuwajali zaidi wenzetu, na akaipokee funga yetu.
Natoa wito kwetu sote kuendelea kuiombea nchi yetu amani, umoja, upendo, mshikamano, utulivu, ustawi na haki.
Ramadhan Kareem.
The Power of Kegel Exercises for Men – Go Longer, Stronger in Bed
Welcome to the bedroom game-changer:
Kegel exercises. Forget the myths, this is about hardcore endurance training, but not where you'd expect.
-Thread-