@axl_dash20 Hao Democrats hua wanakuja Africa Wana tuchocha na pesa kidogo ndio tukipata chance ya kuenda majuu tuwa votie 😂 hao watu hu spread vitu fake kwa media platforms ndio maana trump huchukia media
@MigunaMiguna@RailaOdinga Lies. How do you have a house in runda and you were deported out of Kenya ? Unarudi tu saa zile hawa wezi walikam alafu all of a sudden nyumba yako runda Ina chomwa vs shamba mzima😂we acha nyumba za runda unaeza waste 10M ununue nyumba na uchome na ununue ingine na pesa za wizi
@Kenyans Time ya uhuru mambo ilikua cheap na hakukua na ushoga na at least najua ka fom kalikua kakitokea. Lakini saii ni nini inatokea ama macho zenyu ziliuzwa na zile bandits zinaiba mbuzi na ngombe 😂