Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Imani Salum Njalikai kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. @Imasan4 alikuwa ni Msaidizi wa Waziri Mkuu - Hotuba.
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia kuiona siku ya leo tunapoiaga 2022 na kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2023. Kama Taifa, tunaiaga 2022 tukiwa wamoja, wenye amani na tuliopiga hatua kubwa kimaendeleo. (1/2)
Tuendelee kufanya kazi kwa bidii na weledi kufikia azma yetu ya kuwa bora zaidi na zaidi. Serikali itaendelea kufanya kila litalowezekana ili 2023 kwa uwezo wa Mola, iwe ya mafanikio makubwa zaidi ya kiuchumi & kijamii kwa kila mmoja na Taifa zima. Tuwe na mwaka mwema 2023. (2/2)
Nawatakia Watanzania wote kheri ya Krismasi na Mwaka Mpya. Tumpe Mwenyezi Mungu shukrani kwa kutufikisha salama wakati huu wa mwaka. Tusherehekee kwa amani, upendo na kiasi. Mwaka 2023 tukaendelee kufanya kazi kwa juhudi na weledi, ili nchi yetu iendelee kupiga hatua mbele zaidi.
📍Dodoma
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu Chamwino, Jijini Dodoma leo tarehe 28 Oktoba , 2022
📹:CCM Makao Makuu
When I saw a stream of blood down my leg, I knew right there and then; it’s happening! My worst nightmare was coming true and I couldn’t believe it because it was already days after delivery. I have NEVER been that terrified ALL MY LIFE.
This is my story: SURVIVING PPH #Thread 🧵
President Droupadi Murmu met the President of Tanzania, Samia Suluhu Hassan, in an official reception at the State Funeral of Her Majesty the Queen Elizabeth II. President Hassan is the first woman president of Tanzania.
On this special occasion of my life, I pray for nothing else than the guidance of Allah in everything I do and every path I take. Happy birthday to me!
HUU NI MWISHO WA PUTIN.
Huwa sipendi kuspeculate mambo,
Ila Putin ameingia kwenye mtego wa muda mrefu.
Na mwisho wa hili, Kremlin itakaliwa @navalny au Mwanasiasa mwengine ambaye hatokei United Russia.
UZI.
You will not have the leisure of time and resources like many other fellow young people, which may translate into social rejection. You will be working 18 hours a day, 7 days a week to be able to move forward at a pace that you really want.
👇🏿
Dr WILLIAMSON akajenga uwanja wa ndege wa kisasa ndani ya mgodi mwaka 1940's, akanunua ndege mbili za mwanzo aina ya DAKOTA DC-3 na CESSNA-180 wkt huo hata serikali ya muingereza ikiwa haina wazo la ndege, Tanganyika ikiwa haina uhakika wa kupokea ndege kubwa aina ya Dakota DC3.